
Andika kwa kutumia kibodi kwenye skrini
Wakati unaandika maandishi, chagua > aina ya ingizo, kisha
uchague lugha na kibodi kamili.
Ongeza lafudhi kwa kibambo
Chagua na ushikilie kibambo. Huenda hii isipatikane katika lugha zote.
44

Badilisha kati ya vibambo vya herufi
Chagua .
Charaza katika nafasi
Chagua
.
Sogeza kasa kwenye mstari unaofuata
Chagua .
Futa kibambo
Chagua .