Nokia Asha 311 - Andika kwa kutumia kibodi kwenye skrini

background image

Andika kwa kutumia kibodi kwenye skrini

Wakati unaandika maandishi, chagua > aina ya ingizo, kisha

uchague lugha na kibodi kamili.
Ongeza lafudhi kwa kibambo

Chagua na ushikilie kibambo. Huenda hii isipatikane katika lugha zote.

44

background image

Badilisha kati ya vibambo vya herufi

Chagua .
Charaza katika nafasi

Chagua

.

Sogeza kasa kwenye mstari unaofuata

Chagua .
Futa kibambo

Chagua .