Andika kwa kutumia vitufe kwenye skrini
Wakati unaandika maandishi, chagua > aina ya ingizo, na uchague
lugha na vitufe vya simu.
Charaza katika kibambo
1. Chagua kitufe cha kibambo kwa kurudia hadi kibambo kionyeshwe.
Kuna vibambo zaidi vinavyopatikana zaidi ya vinavyoonyeshwa
kwenye kitufe.
2. Ikiwa herufi inayofuata iko kwenye kitufe sawa, subiri hadi kasa
ionyeshwe, na uchague kitufe tena.
Kidokezo: Ili kuona vibambo vyote vinavyopatikana kwenye kitufe
cha kibambo, chagua na ushikilie kitufe.
Charaza katika nafasi
Chagua
.
Sogeza kasa kwenye mstari unaofuata
Chagua na ushikilie
, na uchague .
Charaza katika kibambo maalum
Chagua kibonye cha alama, na uchague kibambo maalum.
Futa kibambo
Chagua . Kama ni kibambo cha mchanganyo, chagua mara mbili.
Maandishi ya mchanganyiko hayapatikani katika lugha zote.