
Tumia maandishi ya ubashiri
Maandishi ya ubashiri hayapatikani katika lugha zote.
1. Chagua > ubashiri > .
2. Anza kuandika neno. Simu yako hupendekeza maneno
yanayowezekana. unapoandika. Wakati neno sahihi limeonyeshwa,
chagua neno.
3. Ikiwa neno haliko kwenye kamusi, chagua kidukizo na , na
uongeze neno jipya kwenye kamusi.
Wakati unatumia maandishi ya ubashiri, unaweza kuweka simu yako
ikamilishe na kucharaza maneno kwa ajili yako kiotomati.
Tumia ukamilishaji neno
Chagua > ukamili'i neno > .
45