Sanidi akaunti ya barua yako
Je, unatumia zaidi ya anwani moja ya barua? Unawezakuwa na vikasha
kadhaa vya barua katika simu yako. Barua ni huduma ya mtandao.
1. Chagua barua.
2. Chagua mtoa huduma wako ya barua.
3. Charaza jina lako la mtumiaji na nenosiri.
Kidokezo: Ikiwa hutaki kucharaza nenosiri lako kila wakati
unapotumia akaunti yako ya barua, chagua hifadhi nenosiri.
4. Chagua Ingia.
Ongeza kisanduku chako cha barua baadaye
1. Chagua barua.
2. Chagua > ongeza akaunti.
3. Fuata maagizo yaliyoonyeshwa kwenye simu.
Simu yako husasisha kasha lako la kupokea katika nafasi fulani ili
kuonyesha barua zako mpya wakati zinapowasili. Hii huenda
ikasababisha uhamishaji wa viwango vikubwa vya data, ambayo
huenda ikasababisha gharama ya trafiki ya data. Ili kuokoa gharama,
49
unaweza kuzima kipengee cha kusasisha kiotomatiki na usasishe
kasha la kupokea kwa kikuli.
Zima usasishaji kiotomatiki kasha la kupokea
1. Chagua barua.
2. Chagua > mipangilio na kisanduku chako cha ujumbe.
3. Chagua sas. kasha langu la kupokea > kwa mikono.
50
Mike
Jambo Ana
Anna
Jambo Mike