Sogoa na marafiki wako
Je, unapenda kusogoa mtandaoni na marafiki wako? Ukiwa nje,
unaweza kutuma ujumbe wa papo hapo na simu yako haijalishi mahali
ulipo. Sogoa ni huduma ya mtandao.
1. Chagua IM.
2. Kama huduma kadhaa za soga zinapatikana, chagua huduma
unayotaka.
3. Ingia kwenye huduma.
Kidokezo: Unaweza kuingia na kusogoa katika huduma kadhaa kwa
wakati mmoja. Lazima utie saini kando katika kila huduma.
4. Katika orodha yako ya mawasiliano, chagua jina unalotaka kusogoa
nalo na gusa ili kuandika.
5. Andika ujumbe wako.
Kidokezo: Ili kuongeza kicheshi, chagua .
6. Chagua
.
Unawezakuwa na mazungumzo kadhaa yanayoendelea kwa wakati
mmoja. Ili kubadilisha kati ya mazungumzo, chagua
.
Angalia 8.
52