
Tuma barua
Je, ungependa kutuma barua unapokuwa ukienda? Na simu yako,
unaweza kusoma na kutuma barua, hata wakati hujakaa kwenye
dawati yako.
1. Chagua barua na akaunti ya barua.
Kidokezo: Kama una zaidi ya akaunti moja ya barua, simu yako
itafungua kiotomatiki akaunti ya barua uliyotumia mara ya mwisho.
Ili kufungua akaunti nyingine ya barua, chagua .
2. Chagua .
3. Ili kuongeza mpokeaji, chagua , au andka kwa kikuli anwani katika
uga wa Kwa.
4. Andika mada na ujumbe wako.
Kidokezo: Ili kujumuisha kiambatisho, kama vile picha, chagua .
5. Chagua
.
51

Jambo
Mike