Fomati kadi ya kumbukumbu
Unataka kufuta yaliyomo yote kutoka kwenye kadi yako ya
kumbukumbu? Wakati unapofomati kadi ya kumbukumbu, data yote
ndani yake hufutwa.
1. Chagua faili.
2. Chagua na ushikilie kadi ya kumbukumbu, kisha uchague ch. za
kad. kum..
3. Chagua fom. kadi k'mbu.
84