Nokia Asha 311 - Fomati kadi ya kumbukumbu

background image

Fomati kadi ya kumbukumbu

Unataka kufuta yaliyomo yote kutoka kwenye kadi yako ya

kumbukumbu? Wakati unapofomati kadi ya kumbukumbu, data yote

ndani yake hufutwa.
1. Chagua faili.
2. Chagua na ushikilie kadi ya kumbukumbu, kisha uchague ch. za

kad. kum..
3. Chagua fom. kadi k'mbu.

84