
Linda kadi yako ya kumbukumbu na nywila
Unataka kulinda kadi yako ya kumbukumbu dhidi ya utumizi
usioidhinishwa? Unaweza kuweka nenosiri ili kulinda maudhui.
1. Chagua faili.
2. Chagua na ushikilie kadi ya kumbukumbu, kisha uchague ch. za
kad. kum..
3. Chagua weka nenosiri, kisha charaza nenosiri.
Tunza nywila ikiwa siri na katika mahali salama, kando na kadi ya
kumbukumbu.
83