Nokia Asha 311 - Linda kadi yako ya kumbukumbu na nywila

background image

Linda kadi yako ya kumbukumbu na nywila

Unataka kulinda kadi yako ya kumbukumbu dhidi ya utumizi

usioidhinishwa? Unaweza kuweka nenosiri ili kulinda maudhui.
1. Chagua faili.
2. Chagua na ushikilie kadi ya kumbukumbu, kisha uchague ch. za

kad. kum..
3. Chagua weka nenosiri, kisha charaza nenosiri.
Tunza nywila ikiwa siri na katika mahali salama, kando na kadi ya

kumbukumbu.

83