
Hakimiliki na ilani nyingine
TANGAZO LA UKUBALIFU
106

Sisi, NOKIA CORPORATION
tunatangaza kwamba bidhaa hii
RM-714 inatimiza mahitaji muhimu na
maandao mengine yanayolingana na
Maagizo ya 1999/5/EC. Nakala ya
tangazo la Ukubalifu inaweza
kupatikana kutoka http://
www.nokia.com/global/declaration-
of-conformity ..
© 2012 Nokia. Haki zote
zimehifadhiwa.
Nokia, na Nokia Connecting People ni
alama za biashara au alama
zilizosajiliwa za Nokia Corporation.
Nokia tune ni sauti dhahiri ya Nokia
Corporation. Majina mengine ya
bidhaa na ya makampuni yaliyotajwa
humu ndani yanaweza kuwa ni alama
za biashara au majina ya biashara ya
hao wamiliki.
Ni marufuku kutoa upya, kuhamisha,
kusambaza au kuhifadhi sehemu au
yote yaliyomo katika waraka huu
katika hali yoyote ile bila ya kupewa
kwanza idhini ya kimaandishi na Nokia.
Nokia inaendesha sera ya kuendelea
kubuni. Nokia ina haki ya kufanya
mabadiliko na kuboresha bidhaa yake
yoyote iliyoelezwa katika waraka huu
bila ya kutoa taarifa kwanza.
Includes RSA BSAFE cryptographic
or security protocol software from
RSA Security.
Oracle and Java are
registered trademarks of Oracle and/
or its affiliates.
The Bluetooth word mark and logos
are owned by the Bluetooth SIG, Inc.
and any use of such marks by Nokia is
under license.
Bidhaa hii ina leseni ya 'MPEG-4 Visual
Patent Portfolio License' (i) kwa ajili ya
matumizi binafsi na yasiyo ya
kibiashara kuhusiana na taarifa
ambazo zimewekwa kiusiri kwa
kufuata viwango vya vitu
vinavyoangaliwa vya MPEG-4
{'MPEG-4 Visual Standard'} kwa
mtumiaji anayeshughulika na mambo
binafsi na yasiyo ya kibiashara na (ii)
kwa matumizi yanayohusiana na video
ya MPEG-4 iliyotolewa na mtoa video
mwenye leseni. Hakuna leseni
iliyotolewa au itakayotumiwa kwa
matumizi mengine. Habari za ziada,
pamoja na zile zinazohusiana na
107

matumizi ya ukuzaji, kindani, na
biashara zinaweza kupatikana kutoka
kwa MPEG LA, LLC. Angalia http://
www.mpegla.com.
Mpaka kwenye kiwango cha juu
kinachoruhusiwa na sheria husika,
katika mazingira yoyote yale Nokia au
wenye leseni yake hawatahusika kwa
upotevu wowote wa data au mapato
au uharibifu wowote ule, uwe maalum,
wa ajali, unatokana na, au usiokuwa wa
moja kwa moja uliosababishwa
vyovyote vile.
Yaliyomo katika waraka huu
yanatolewa "kama yalivyo". Isipokuwa
kama inatakiwa hivyo na sheria husika,
hakuna dhamana za aina yoyote, ama
za moja kwa moja au zisizo bayana,
pamoja na, lakini isiyokomea hapo,
dhamana zisizo bayana za uuzikaji wa
kibiashara na ufaaji kwa matumizi
fulani, zinazotelewa kuhusiana na
usahihi, uaminikaji au yaliyomo ndani
ya waraka huu. Nokia ina haki ya
kupitia na kusahihisha waraka huu au
kuuondoa wakati wowote bila kutoa
taarifa kwanza.
Upatikani wa bidhaa, vipengele,
programu, na huduma huenda
zikatofautiana kimaeneo. Kwa
maelezo zaidi, wasiliana na muuzaji
wako wa Nokia au mtoa huduma wako.
Kifaa hiki kinaweza kuwa na bidhaa,
teknolojia au maunzi laini ambayo
yanaathiriwa na sheria na kanuni za
usafirishaji nje ya nchi kutoka
Marekani na nchi nyingine.
Uchepushaji kwa hila kinyume cha
sheria ni marufuku.
Nokia haitoi waranti au kuwajibika kwa
utendaji kazi, maudhui, au usaidizi wa
mtumiaji wa programu za mhusika wa
tatu zilizotolewa na kifaa chako. Kwa
kutumia programu, unakubali
kwamba programu imetolewa kama
ilivyo. Nokia haitoi wakilishi wowote,
waranti au kuwajibika kwa utendaji
kazi, maudhui, au usaidizi wa mtumiaji
wa programu za mhusika wa tatu
zilizotolewa na kifaa chako.
ILANI YA FCC/KIWANDA CHA
KANADA
Kifaa hiki kinaafikiana na sehemu ya
15 ya kanuni za FCC na viwango vya
RSS vya buraa ya leseni ya Tasnia ya
Kanada. Utendaji kazi wake
unategemea utimizaji wa masharti
mawili yafuatayo: (1) Kifaa hiki huenda
hakitasababisha mwingiliano wenye
madhara, na (2) kifaa hiki lazima
kikubali mwingiliano wo wote
uliopokewa, ukiwemo mwingiliano
unaoweza kusababisha utendaji
usiotakiwa. Kifaa chako kinaweza
108

kusababisha mwingiliano kwenye TV
au redio (kwa mfano, wakati unatumia
kifaa karibu karibu na vifaa vya
upokeaji). Kama unahitaji msaada,
wasiliana na kitengo cha huduma cha
karibu na mahali ulipo.Mabadiliko au
marekebisho yoyote ambayo
hayajaruhusiwa mahususi na Nokia
yanaweza kubatilisha uwezo wa
mtumiaji wa kutumia kifaa hiki.
109