Nokia Asha 311 - Hifadhi jina na namba ya simu

background image

Hifadhi jina na namba ya simu

Ongeza majina mapya kwenye simu yako.
Chagua majina.
Chagua , kisha andika jina, namba, na maelezo mengine.
Hariri maelezo ya jina

Chagua jina na , kisha hariri maelezo.
Ongeza maelezo zaidi

Chagua > ongez. maelezo na maelezo.

34

background image

Kipigaji simu