Nakili majina kwenye SIM kadi yako
Unataka kutumia SIM kadi yako katika simu ingine, lakini unaweza
bado unaweza kufikia wawasiliani wako? Kimsingi, wawasiliani
huhifadhiwa kwenye kumbukumbu ya simu, lakini unaweza kunakili
wawasiliani wako kwenye SIM kadi.
Chagua majina.
Majina zaidi yanaweza kuhifadhiwa kwenye kumbukumbu ya simu, na
majina yaliyohifadhiwa kwenye SIM yana namba moja tu.
humaanisha jina limehifadhiwa kwenye SIM.
Chagua majina ya kunakiliwa
1. Chagua > nakili majina > chagua majina.
2. Chagua majina, kisha chagua .
Nakili majina yote
Chagua > nakili majina > chagua kumbukumbu > kut. sim . kw.
SIM, na uchague kumbukumbu unayotaka kutoka kwa orodha kunjuzi.
36