Piga simu haraka
Unapigia mtu mara kwa mara? Weka namba yao kama kiita haraka.
Chagua simu na > viita haraka.
Pangia namba ya simu kwa kitufe cha namba
1. Chagua kitufe cha nambari. 1 imehifadhiwa kwa kisanduku cha
barua cha sauti.
2. Ingiza namba au tafuta jina.
Piga simu
Katika kipigaji ismu, bonyeza na ushikilie kituf cha namba.
35