
Badilisha saa na tarehe
Chagua mipangilio na tarehe na saa.
Badilisha ukanda wa saa wakati wa kusafiri
1. Chagua mipangilio > ukunda wa saa:.
2. Chagua ukanda wa saa wa eneo lako.
3. Chagua .
Saa na tarehe kwenye simu yako huwekwa kulingana na ukanda wa
saa.
Kwa mfano, GMT -5:00 ni ukanda saa wa New York (Marekani), saa 5
magharibi mwa Greenwich, London (UK).
21