Kuhusu Stoo ya Nokia
Pakua michezo ya rununu, programu, video, mandhari, pazia, na toni
za mlio kwenye simu yako kutoka kwa Stoo ya Nokia.
Chagua stoo.
Vipengee vingi ni vya bure; vingine unahitaji kulipia na kadi yako ya
mkopo au katika bili yako ya simu. Upatikanaji wa mbinu za malipo
hutegemea nchi yako ya makazi na mtoa huduma wa mtandao wako.
Kujifunza mengi kuhusu Stoo ya Nokia, nenda kwenye
www.nokia.com/support.
25