Nokia Asha 311 - Tumia kikokotoo

background image

Tumia kikokotoo

Kuw katika bajeti yako mahali popote ulipo - simu yako ina kikokotoo.
1. Chagua kikokotoo.
2. Charaza hesabu yako, na chagua =.
Kidokezo: Ili kuona historia yako ya hesabu, chagua na ushikilie

kisanduku cha matokeo ya kikokotoo.

24