Nokia Asha 311 - Cheleza maudhui kwenye kadi ya kumbukumbu

background image

Cheleza maudhui kwenye kadi ya kumbukumbu

Je! unataka kuhakikisha hutapoteza faili muhimu? Unaweza

kucheleza kumbukumbu ya simu yako kwa kadi ya kumbukumbu

inayoingiana.
Chagua mipangilio > uoa. na na. d'ura.
1. Chagua unda kumbuku..
2. Chagua unachotaka kucheleza, kisha chagua .
Rudisha chelezo

Chagua rudisha kumbu. na kile unachotaka kurejesha, kisha chagua

.

88