Misimbo ya ufikivu
Msimbo wa PIN
au PIN2
(dijiti 4-8)
Hizi hulinda SIM yako dhidi ya matumizi
yasiyodhinishwa au yanayohitajika ili kufikia
vipengee vingine.
Unaweza kuweka simu yako kukuuliza msimbo wa
PIN wakati unapokiwasha.
Kama haijapeanwa pamoja na SIM yako au ulisahau
misimbo, wasiliana na mtoa huduma wako.
Ukicharaza msimbo usio sahihi mara tatu
mfululizo, unahitaji kufungua msimbo na msimbo
wa PUK au PUK2.
Msimbo wa PUK
au PUK2
(dijiti 8)
Hizi zinahitajika ili kufungua msimbo wa PIN au
PIN2.
Kama haijapeanwa pamoja na SIM yako, wasiliana
na mtoa huduma wako.
Nambari ya IMEI
(dijiti 15)
Hii hutumiwa ili kutambua simu halali katika
mtandao. Nambari inaweza pia kutumiwa ili
kufunga, kwa mfano, simu zilizoibiwa. Huenda pia
ukahitaji kupeana namba ya huduma za Nokia
Care.
Ili kuona nambari yako ya IMEI, piga *#06#.
Msimbo wa
kufunga
Hii hukusaidia kulinda simu yako dhidi ya matumizi
yasiyoruhusiwa.
93
(msimbo wa
usalama)
(isiyozidi dijiti 5)
Unaweza kuseti simu yako kukuuliza msimbo wa
kufunga ambao unafasili. Msimbo mbadala wa
kufunga ni 12345.
Tunza msimbo kwa siri na katika mahali salama,
kando na simu yako.
Ukisahau msimbo na simu yako kifungwe, simu
yako itahitaji huduma. Gharama za ziada huenda
zikatumika, na data zote za kibinafsi katika simu
yako huenda zikafutika.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Nokia Care au
muuzaji wa simu yako.
94