
Rejesha mipangilio halisi
Ikiwa simu yako haifanyi kazi vyema, unaweza seti upya baadhi ya
mipangilio katika viwango vyao halisi.
1. Tamatisha simu na miunganisho yote.
2. Chagua mipangilio na rejesha mi. ya k'ani. > mipangilio tu.
3. Charaza msimbo wa usalama.
Hii haiathiri hati au mafaili yaliyohifadhiwa kwenye simu yako.
Baada ya kurudisha mipangilio, simu yako huzima na kuwaka tena. Hii
huenda ikachukua muda mrefu usio wa kawaida.
92