
Sas. pr. ya simu yako kwa kut. simu yako
Unaweza kusasisha programu ya simu yako pasiwaya.. Unaweza
kuseti simu yako kukagua kiotomati visasisho.
Chagua mipangilio na simu > visas. vya kifaa.
1. Ili kukagua ikiwa kuna kisasisho, chagua pakua pr. kifaa.
2. Ili kupakua na kusakinisha kisasisho, chagua pakua pr. kifaa, na
ufuate maagizo yaliyoonyeshwa kwenye simu.
Kisasisho huenda kikachukua dakika kadhaa. Ukikabiliana na
matatizo, wasiliana na mtoa huduma wa mtandao wako.
Kagua visasisho kiotomati
Chagua usa. prog. kiotomati, na uweke ni mara ngapi utakagua.
Mtoa huduma wa mtandao wako anaweza kutuma visasisho kupitia
mawimbi moja wa moja kwa simu yako. Kwa maelezo zaidi juu ya
huduma hii ya mtandao, wasiliana na mtoa huduma wa mtandao
wako.
91