Sasisha programu ya simu kwa kutumia PC yako
Sasisha programu ya simu yako na programu ya kompyuta ya Nokia
Suite. Unaweza pia kucheleza picha na vitu vingine katika simu yako
kwenye kompyuta yako.
Unahitaji PC inayoendana, muunganisho wa haraka wa tovuti, na kebo
ya data ya USB inayoendana ili uunganishe simu yako kwa PC.
Kebo ya USB inauzwa kando.
Ili kupata maelezo zaidi na kupakua programu, nenda kwa
www.nokia.com/support.
90