Nokia Asha 311 - Sasisha programu ya simu kwa kutumia PC yako

background image

Sasisha programu ya simu kwa kutumia PC yako

Sasisha programu ya simu yako na programu ya kompyuta ya Nokia

Suite. Unaweza pia kucheleza picha na vitu vingine katika simu yako

kwenye kompyuta yako.
Unahitaji PC inayoendana, muunganisho wa haraka wa tovuti, na kebo

ya data ya USB inayoendana ili uunganishe simu yako kwa PC.
Kebo ya USB inauzwa kando.
Ili kupata maelezo zaidi na kupakua programu, nenda kwa

www.nokia.com/support.

90