
Utatuzi
Ikiwa una hoja, fanya ifuatavyo:
• Zima simu, na uondoe betri. Baada ya kama dakika moja, rudisha
betri ndani, na uwashe simu tena.
• Sasisha programu ya simu yako: Chagua mipangilio na simu >
visas. vya kifaa.
• Rejesha mipangilio asili ya kiwanda: Katisha simu na miunganisho
yote, na uchague mipangilio na rejesha mi. ya k'ani. > mipangilio tu.
Kama suala lako litabaki bila kutatuliwa, wasiliana na Nokia kwa
chaguo za kukarabati katika www.nokia.com/support. Kabla ya
kutuma simu yako ili irekebishwe, cheleza data yako, kwa kuwa data
zote za kibinafsi katika simu yako huenda zikafutwa.
Unaweza pia kwenda kwa www.nokia.com/support ambapo unaweza
kupata:
• Maelezo ya utatuzi
• Habari juu ya programu na vipakuzi
• Toleo ndefu zaidi la mwongozo huu wa mtumiaji
• Maelezo ya kusasisha programu
86

• Maelezo kuhusu vipengele na teknolojia, na utangamanifu wa vifaa
na vifaa vya ziada
Kagua pia idhaa ya Video ya Msaada wa Nokia katika
www.youtube.com/user/NokiaSupportVideos.
87

mipangilio
majina
ujumbe
vialamisho
kalenda
faili
pr.-tum. na mi'zo