Nokia Asha 311 - Ongeza kialamisho

background image

Ongeza kialamisho

Ukitembelea tovuti sawa kila wakati, ziongeze kama vialamisho, ili

uweza kuzifikia kwa urahisi.
Chagua tovuti.
Unapokuwa ukivinjari, chagua > ong. Kwa vipendwa.
Nenda kwenye wavuti iliyoalamishwa

Chagua na kialamisho.

67