Vinjari wavuti
Jifahamishe juu ya habari, na tembelea tovuti zako unazopendelea
unapokuwa ukienda.
Chagua tovuti.
Kidokezo: Kama huna mpango wa data wa ada moja kutoka kwenye
mtoa huduma wako wa mtandao, ili kuokoa gharama ya data katika
bili yako ya simu, unaweza kutumia mtandao wa Wi-Fi ili kuunganisha
kwenye tovuti.
Nenda kwenye wavuti
Andika anwani ya wavuti katika upau wa anwani.
Sogeza kwenye ukurasa wa wavuti
Kokota ukurasa na kidole chako.
Kuza zaidi
Gusa sehemu ya ukurasa wa wavuti unaotaka kuona vizuri.
Kuza nje
Gonga skrini mara mbili.
Kidokezo: Ili kukuza ndani au nje, unaweza kuweka vidole viwili
kwenye skrini, naa utelezeshe vidole vyako vikiwa kando au pamoja.
65
Tafuta tovuti
Andika neno la utafutaji katika upau wa anwani. Ukiulizwa, chagua
mtambo wako badala wa utafutaji.
Rudi kwenye ukurasa wa wavuti uliotembelea awali
Chagua > historia na ukurasa wa wavuti.
Kidokezo: Kuonyesha upau wa anwani na upau wa zana wakati wa
kuvinjari, chagua .
Kidokezo: Unaweza kupakua programu za wavuti kutoka kwa Stoo ya
Nokia. Wakati unapofungua kwanza programu ya wavuti, huongezwa
kama kialamisho. Kwa maelezo zaidi, nenda kwa www.nokia.com/
support.
66
Paris
www.nokia.com
usafiri