
Cheza wimbo
Unaweza kutumia kichezaji muziki cha simu yako ili usikilize muziki
na podikasti unapokuwa ukitembea.
Chagua muziki.
1. Chagua na wimbo.
2. Ili kusitisha au kuendea kucheza, chagua au .
Ruka hadi wimbo uliopita au unaofuata
Chagua au .
Funga kicheza muziki
Bonyeza kitufe cha kukata simu.
60