Nakili muziki kutoka kwenye PC yako
Una muziki kwenye PC yako ambao unataka kusikiliza kwenye simu
yako? Tumia Nokia Suite na kebo ya USB ili kusimamia na
kulandanisha mkusanyiko wako wa muziki.
1. Unganisha simu yako kwenye kompyuta yako na kebo ya USB
inayotangamana. Hakikisha kadi ya kumbukumbu inayotangamana
iko kwenye simu yako.
2. Chagua uhamisha. media kama modi ya muunganisho.
3. Kwenye kompyuta yako, fungua Nokia Suite. Kwa maelezo zaidi,
angalia msaada wa Nokia Suite.
Mafaili mengine ya muziki yanaweza kulindwa na usimamiaji haki dijito
(DRM) na haiwezi kuchezwa kwa zaidi ya simu moja.
59