Pata na uhifadhi idhaa za redio
Tafuta idhaa zako vipendwa za redio, na uzihifadhi, ili uweze
kuzisikiliza baadaye kwa urahisi.
Chagua redio.
Unganisha kifaa cha kichwa kinachotangamana kwenye simu yako.
Kifaa cha kichwa hufanya kazi kama antena.
Tafuta idhaa zote zinazopatikana
Chagua > tafu. idhaa zote.
Weka masafa kwa kikuli
Gusa masafa, kisha tembeza kwa masafa.
Hifadhi idhaa
Chagua .
Nenda kwa idhaa inayofuata au iliyohifadhiwa awali
Chagua au .
62