Nokia Asha 311 - Rekodi klipu za sauti

background image

Rekodi klipu za sauti

unaweza kurekodi taarifa za sauti au mazungumzo ya simu.
Chagua kir. sauti..
1. Chagua .
2. Kukomesha kurekodi, chagua .

63

background image

64

Rekodi mazungumzo ya simu

Wakati wa simu, chagua > rekodi.
Watu wote wawili wanasikia toni katika kipindi kawaida cha muda

wakati wa kurekodi.
Sikiliza rekodi zako

Chagua > oro. virekodiwa.