Sikiliza redio
Unganisha kifaa cha kichwa kinachotangamana kwenye simu yako.
Kifaa cha kichwa hufanya kazi kama antena.
Chagua redio.
Badilisha sauti
Tumia vitufe vya sauti.
Weka redio ili icheze katika usuli
Chagua .
Funga redio
Bonyeza kitufe cha kukata simu.
Kidokezo: Ili kufunga redio wakati inacheza katika usuli, bonyeza na
ushikilie kitufe cha kukata simu.
61