
Badili kati ya skrini za nyumbani
Simu yako ina skrini kaya tatu, moja ya programu, nyingine ni ya njia
zako za vibwedo za mkato, na moja ni ya programu unayotumia sana,
kama vile kipigaji simu.
Pitisha kushoto au kulia.
• Skrini yangu ndio mahali ambapo unaweza kuongeza majina yako
vibwedo na njia za mkato.
• Kwenye skrini ya programu, unaweza kufungua programu, na
kuzipanga jinsi unavyotaka.
• Kwenye skrini ya kupiga simu, unaweza kupiga simu. Katika mahali
pa kipigaji simu, unaweza pia kuwa na kichezaji muziki au redio.
Kidokezo: Ili kubinafsisha skrini yako ya kipigaji simu, gusa na
ushikilie skrini yangu, pitisha kwenye skrini ya kupiga simu, na
uchague programu unayotaka.
14