Badilisha mipangilio kwa haraka
Badala ya kwenda kwenye menyu za simu, katika mionekano mingi,
unaweza kubadilisha kwa haraka baadhi ya mipangilio kwa kupitisha
chini kuanzia juu ya skrini.
Unaweza:
• Angalia ikiwa una simu zisizojibiwa au ujumbe usiosomwa
• Badilisha mfumo, kwa mfano, kunyamazisha simu yako
• Fungua kichezaji muziki, kwa mfano, ili kusitisha wimbo unaocheza
kwa sasa
• Fungua au funga miunganisho ya tovuti ya data ya rununu
• Kagua miunganisho ya Wi-Fi, na uziunganishe
• Washa au zima Bluetooth
15