
Chunguza simu yako
Gusa programu au kipengee kingine
ili kukifungua.
1
09:00
Jumanne
Gusa na ushikilie kipengele ili kuona
chaguo zaidi.
2
Kupitisha, telezesha kidole chako kwa
umakini katika mwelekeo unaotaka.
3
12

Kutembeza, telezesha kidole chako
kwa haraka juu au chini, na uinue
kidole chako.
4
Ili kukuza, telezesha vidole viwili
vikiwa kando au pamoja kwenye
skrini.
5
Ili kurudi kwenye muonekano uliopita,
chagua .
6
Kurudi nyuma kwenye skrini kaya,
chagua
.
7
Ili kuona arifu, telezesha chini kuanzia
juu ya skrini. Angalia 4.
8
13

09:00
Jumanne
1
2
3
4
5
6
7
8
9