Nokia Asha 311 - Funga vitufe na skrini

background image

Funga vitufe na skrini

Funga vitufe na skrini wakati hautumii

simu yako.

Kufunga, bonyeza kitufe cha kufunga

vitufe.

1

Kufungua, bonyeza kitufe cha

kufunga vitufe, kisha pitisha kushoto

au kulia.

2