Ikoni zinazoonyeshwa kwenye simu yako
— Una ujumbe ambao haujasomwa.
— Una ujumbe ambao hujatumwa, umeghairiwa, au ulioshindwa.
— Skrini ya mguso na vitufe vimefungwa.
— Simu haitoi sauti wakati mtu anapopiga simu au kutuma ujumbe.
— Kengele imewekwa.
/
— Simu imeunganishwa kwa mtandao wa GPRS au EGPRS.
— Muunganisho wa A GPRS au EGPRS iko wazi.
/ — Muunganisho wa GPRS au EGPRS umesitishwa.
— Simu imeunganishwa kwenye mtandao wa 3G (UMTS).
— Bluetooth imewashwa.
— Simu umeunganishwa kwenye WLAN.
— Simu zote zinazoingia zinasambazwa kwa namba nyingine.
— Kifaa cha kichwa kimeunganishwa kwenye simu.
— Simu imeunganishwa kwenye kifaa, kama vile kompyuta, na
kebo ya USB.
20