Ingiza SIM kadi na betri
Zima simu, kisha ondoa kifuniko cha
nyuma.
1
Ikiwa betri iko ndani ya simu, itoe.
2
Telezesha na inua kishikiliaji. Weka
SIM eneo la mguso likiangalia chini.
Angalia 1.
3
Teremsha kishikiliaji, kisha itelezeshe
ijifunge.
4
Lainisha maeneo ya mguso ya betri,
kisha usukume betri ndani.
5
Rudisha kifuniko cha nyuma.
6
9