Nokia Asha 311 - Ingiza SIM kadi na betri

background image

Ingiza SIM kadi na betri

Zima simu, kisha ondoa kifuniko cha

nyuma.

1

Ikiwa betri iko ndani ya simu, itoe.

2

Telezesha na inua kishikiliaji. Weka

SIM eneo la mguso likiangalia chini.

Angalia 1.

3

Teremsha kishikiliaji, kisha itelezeshe

ijifunge.

4

Lainisha maeneo ya mguso ya betri,

kisha usukume betri ndani.

5

Rudisha kifuniko cha nyuma.

6

9