
Nakili maudhui kutoka kwenye simu yako ya zamani
Kwa urahisi pata majina yako, kalenda, na vitufe vingine kwenye simu
yako mpya.
1. Washa Bluetooth katika simu zote.
2. Kwenye simu yako, chagua mipangilio na uoa. na na. d'ura > nakili
kut. kwa kifaa.
3. Chagua unachotaka kunakili, na uchague .
4. Chagua simu yako ya zamani kutoka kwenye orodha ya vifaa
vilivyopatikana.
5. Fuata maagizo yaliyoonyeshwa kwenye simu zote.
17