Nokia Asha 311 - Nakili maudhui kutoka kwenye simu yako ya zamani

background image

Nakili maudhui kutoka kwenye simu yako ya zamani

Kwa urahisi pata majina yako, kalenda, na vitufe vingine kwenye simu

yako mpya.
1. Washa Bluetooth katika simu zote.
2. Kwenye simu yako, chagua mipangilio na uoa. na na. d'ura > nakili

kut. kwa kifaa.
3. Chagua unachotaka kunakili, na uchague .
4. Chagua simu yako ya zamani kutoka kwenye orodha ya vifaa

vilivyopatikana.
5. Fuata maagizo yaliyoonyeshwa kwenye simu zote.

17