Tumia simu yako nje ya mtandao
Katika maeneo ambapo hauruhusiwi kupiga au kupokea simu,
unaweza bado kutumia simu yako ili kucheza michezo au kusikiliza
muziki, ikiwa utabadili kwa mfumo wa angani .
Chagua mipangilio na uunganikaji > ndege.
Kumbuka kufuata mahitaji yoyote husika ya usalama.
Angalia 2.
19