Nokia Asha 311 - Vitufe na sehemu

background image

Vitufe na sehemu

1

2

3

4

5

1 Kifaa cha sikioni

4 Maikrofoni

2 Skrini ya kugusa

5 Kitufe cha kupiga simu

3 Kitufe cha kukata simu

7

background image

13

9

6

8

7

10

11

12

6 Kiunganisha chaja

10 Kitufe cha kufunga kitufe

7 Kiunganisha USB ndogo

11 Eneo la antena Angalia 3

Maagizo mahsusi ya nduni.

8 Kiunganisha kifaa cha kichwa 12 Kipasa sauti

9 Vitufe vya sauti

13 Lenzi ya kamera

Ikiwa kuna utepe wa kuzuia kwenye skrini au lensi ya kamera, ondoa

utepe.

8