Nokia Asha 311 - Chapisha picha

background image

Chapisha picha

Unaweza kuchapisha picha yako moja kwa moja kutoka kwa simu yako

kwa kutumia printa inayotangamana.
1. Unganisha simu yako kwenye kichapishi kinachotangamana cha

PictBridge na kebo ya USB. Ikiwa kichapishi kina Bluetooth, unaweza

pia kutumia hiyo.
2. Kwenye simu yako, chagua uhamisha. media kama modi ya

muunganisho wa USB.
3. Chagua matunzio na picha ya kuchapisha.
4. Chagua > chapa.

57