Hariri picha
Ndiyo picha uliyochukua yenye giza au isiyo na fremu? Ukiwa na simu
yako, unaweza kufanya hariri rahisi kwenye picha ulizochukua.
1. Chagua matunzio na picha.
2. Chagua > hariri picha na athari.
3. Ili kuhifadhi picha iliyohaririwa, chagua > > NDIYO. Picha
iliyohaririwa haibadilisha picha asili.
56