Nokia Asha 311 - Piga picha

background image

Piga picha

1. Ili kufungua kamera, chagua kamera.
2. Kukuza au kufinyiza, chagua tumia vitufe vya sauti.
3. Chagua .
Picha zimehifadhiwa katika matunzio.
Funga kamera

Chagua .

53