Rekodi video
Kando na kupiga picha na simu yako, unaweza pia kunasa nyakati zako
maalum kama video.
Ili kufungua kamera ya video, chagua video.
1. Kuanza kurekodi, chagua .
2. Kukuza au kufinyiza, chagua tumia vitufe vya sauti.
3. Kukomesha kurekodi, chagua .
Video zimehifadhiwa kwenye matunzio.
Kidokezo: Unaweza kutuma video yako katika ujumbe wa medianuwai
au barua. Ili kuzuia urefu wa video ya kutuma, chagua >
mipangilio > urefu wa video > ya MMS.
Funga kamera
Chagua .
54