Tuma picha au video
Tuma picha na video zako kwa familia na marafiki wako katika ujumbe
wa medianuwai au baru,a kwa kutumia Bluetooth.
Chagua matunzio.
1. Fungua kichupo ambacho picha au video ipo.
2. Chagua na ushikilie picha au video, kisha uchague tuma na jinsi
unavyotaka kuituma.
Tuma picha au video kadhaa kwa wakati mmoja
1. Fungua kichupo ambapo picha au video zipo.
2. Chagua
, kisha weka alama unachotaka kutuma.
3. Chagua
na jinsi unavyotaka kuzituma.
58