Nokia Asha 311 - Angalia mahali ulipo kwenye ramani

background image

Angalia mahali ulipo kwenye ramani

Ili kusaidia kupata mkao, kagua mahali ulipo kwenye ramani.
Chagua ramani.
Umeonyeshwa kwenye ramani ikiwa simu yako inaweza kupata eneo

lako.
Sasisha eneo lako

Chagua .
Hifadhi mkao wako wa sasa

Chagua eneo lako na > .
Kidokezo: Wakati unapoonyeshwa kwenye ramani, ili kuona maeneo

yaliyo karibu, chagua ili kuona upauzana, na uchague

> .

77

background image

N