Chunguza maeneo karibu na wewe
Unataka kuona cha kuona na kufanya karibu na wewe? Unaweza
kuchagua kuchambua biashara au maeneo ya umma, kama vile
mikahawa, yameonyeshwa kwenye ramani.
1. Chagua ramani.
2. Chagua ili kuonyesha upauzana, kisha uchague na maeneo ili
kuona.
82